Monday, November 24, 2014

On 4:38 AM by Unknown   No comments
ay n seanAY ameachia rasmi collabo yake ya kimataifa aliyofanya na Sean Kingston na Ms Triniti inayoitwa’Touch Me’. Wimbo umetayarishwa na Riley & Zaire Koalo.

0 comments:

Post a Comment