Wednesday, November 12, 2014

On 1:23 AM by Unknown   No comments
Rick_Ross_Jay-Z
Ikiwa zimesalia wiki mbili kabla hajaachia album yake mpya ‘Hood Billionaire’, big boss wa MayBach Music Group, Rick Ross ameachia single mpya aliyomshirikisha rapper Jay Z.
Wimbo huo ambao utakuwepo kwenye album hiyo inayotarajiwa kutoka Nov.24 unaitwa ‘Moving Bass’.

0 comments:

Post a Comment