Friday, November 21, 2014

On 2:35 AM by Unknown   No comments
Screen Shot 2014-11-21 at 1.55.07 AMStaa wa hit single kama ‘kioo’ na ‘kigeugeu’ mkenya Jaguar amerudi tena kwenye spika zetu kwa kuidondosha hii remix ya single yake mpya ya ‘One centimetre’ ambayo kamshirikisha mkali Iyanya kutoka Nigeria.

Iyanya 2
Jaguar atapenda sana kusoma maoni ya mashabiki wake baada ya kuisikiliza hii single mtu wangu so ufanye kumuachia comment hapo chini…

0 comments:

Post a Comment