Thursday, December 4, 2014
On 3:28 AM by Unknown No comments
‘Watasema Sana’ ni moja kati ya hitsingle zilizowahi kutokea kwenye historia ya Bongofleva, ilimshika kila mtu aliyekuwa na mapenzi na muziki huu ambapo wahusika wakuu walioifanya hitsingle hiyo ni wakali kutoka Afrika Mashariki, Nazizi kutoka Kenya na TID kutoka Tanzania, hakika walifanya kazi nzuri iliyofanikiwa kupenya vizuri kwenye masikio ya wana Afrika Mashariki.
Taarifa ikufikie kwamba wakali hao wameirudia historia hiyo mwaka huu 2014 kwa kurudi tena studio kufanya kazi nyingine, TID na Nazizi kwenye hii nyingine inayoitwa ‘Pressure’,video imeongozwa na Cream Vision mavazi ya Nazizi yamezoeleka kwamba ni yale ambayo huwa yanavaliwa na wanaume lakini humu hali iko tofauti, unaweza kupata picha namna anavyoonekana ndani ya gauni?
Bonyeza play kutazama video hii.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
0 comments:
Post a Comment