Thursday, December 18, 2014
On 3:47 AM by Unknown No comments
Sikukuu ya Christmas haiko mbali sana, wapo wanaotoa zawadi na wapo wanaopokea pia katika kipindi hiki.
Tajiri, Rapper mkongwe kutoka Marekani ambaye ni juzi tu Dunia nzima imeambiwa na jarida la Forbes kwamba kile kiasi cha pesa alichozalisha Hiphop Mogul huyo kimemfanya namba moja, sio Marekani bali Duniani, sio kupitia show za muziki ila ‘Beats by Dre’ ikidhihirisha kwamba ni biashara nzuri kwa upande wake.
Dr. Dre ametoa zawadi kibao, hazijatajwa lakini juu ya zawadi hiyo kuna fungu la kama dola 10,000 kwa kila mtu ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ambayo inasimamia masuala yake ya Kisheria.
Sio wanasheria na wasaidizi wao, unaambiwa zawadi hii imemkuta kila mtu ndani ya kampuni hiyo.
Hiyo ni bonus kwa kazi yao nzuri, bado hana hasara.
Umetoa ama kupokea zawadi yoyote Christmas hii?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
The Rock says his mom, Ata Maivia-Johnson and his cousin were struck HEAD ON by a drunk driver this week ... and luckily, they su...
-
Vin Diesel confirms the rapper has a cameo in the upcoming flick. Iggy Azalea sure has a lot...
0 comments:
Post a Comment