Monday, January 19, 2015

On 2:22 AM by Unknown   No comments
barakah
Hii itakua ni singo ya 2 kuwa rasmi kwenye masikio yako kutoka kwa Barakah Da Prince baada ya ile ya kwanza ya Jichunge akiwa na Tetemesha Production,singo inaitwa Siachani nawe.
Cover
Imetengenezwa na watayarishaji watatu wa muziki ambao ni Nusder/Lollypop na Kid Boy kwenye studio ya Tetemesha Records.

0 comments:

Post a Comment