Thursday, January 8, 2015

On 2:43 AM by Unknown   No comments

Image00012
Yamoto Band wako kazini!
Mwaka 2014 ni kama ulikuwa mwaka wao, tumezisikia kazi nzuri zilizopendwa kutoka kwao kwa kipindi cha mwaka mzima.

2015 wameanza kwa kurekodi video ya wimbo wao, kazi inafanywa Dar es Salaam na director Adam Juma.
Hapa kuna pichaz za kundi hilo, hii ilikuwa jana ambapo walikuwa location wakimalizia sehemu ya mwisho ya video ya wimbo wao wa “Nitakupwelepweta” 
Image00001
Image00002
Image00003
Image00006
Yamoto Band.

Image00007
Image00008
Watu wakiangalia wakati Yamoto wakiwa wanarekodi video.

Image00009
Image00010
Director wa Video mpya ya Yamoto Band, Adam Juma.

Image00011
Image00012
Image00013
Eneo ilipokuwa ikifanyika shooting ya video hiyo ni jirani na Uwanja wa Taifa, Temeke Dar.

Image00014  Image00016

0 comments:

Post a Comment