Wednesday, February 11, 2015
On 4:22 AM by Unknown No comments
Baada ya kupita siku kumi toka mtoto wa Bobby Brown na Whitney Huston ‘Bobbi Kristina’ akutwe amepoteza fahamu bafuni huku uso wake ukiwa ndani ya maji, mpaka sasa hali yake sio nzuri na kwamba amekuwa akipumulia mashine kwa muda wote huu. Bobbi alipelekwa kwenye hospitali ya Emory University huko Atlanta, Marekani ambapo madaktari walisema kuwa hakuna kitu wanachoweza kufanya ili arudi kwenye hali yake ya kawaida.
Familia ya Bobbi na madaktari wake wamesema pande zote zimekubaliana kuondolewa kwa mashine za kupumulia tarehe 11 Feb 2015 siku ambayo mama yake mzazi Whitney Houston alifariki dunia kwenye mazingira hayo ya kuanguka bafuni na kupoteza maisha kama mtoto wake.
Endelea kutembelea fradohmusic.blogspot.com kwa habari za burudani na michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
The Rock says his mom, Ata Maivia-Johnson and his cousin were struck HEAD ON by a drunk driver this week ... and luckily, they su...
-
Vin Diesel confirms the rapper has a cameo in the upcoming flick. Iggy Azalea sure has a lot...
0 comments:
Post a Comment