Tuesday, August 5, 2014
On 2:56 AM by Unknown No comments
Nicki Minaj amezungumza na kituo cha radio Hot 97 cha Marekani
Jumatatu (August 4) na kuelezea jinsi Beyonce alivyomtafuta na kumuomba
amshirikishe katika ‘Flawless Remix’.

Minaj amesema kuwa alipigiwa simu na kupewa taarifa kuwa Beyonce
anataka kumshirikisha kwenye ‘Flawless Remix’ kama mwezi mmoja au miwili
iliyopita, na baadae akamtumia wimbo na kumsisitiza afunguke bila
kuogopa, na kweli tumeona amefunguka kiasi mpaka Lil Kim kashindwa
kuvumilia na kujibu.
Haya ndio maelezo ya Minaj jinsi ilivyokuwa:
“A month or two ago, Gee [Roberson] called me when I was on my
way to Vegas and said, ‘BeyoncĂ© wants you to remix to ‘Flawless. She
sent me a version that she wanted. She told me, ‘I want you to be you. I
don’t want you to hold back. I said, ‘You sure?’
She said, ‘Yeah. I want you to be you and do you. I was actually in New
York writing the verse. I recorded the verse in New York and she stopped
by the studio. She was such a sweetheart. She was hyping me up, ‘Do
your thing. Don’t hold back. Go in.’ I was like, ‘Okay. Alright.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
0 comments:
Post a Comment