Tuesday, August 5, 2014
On 5:29 AM by Unknown No comments
Ndagushima hit maker Ommy Dimpoz mchana huu (Agosti 5) anakwea pipa kuelekea nchini Marekani anakotarajia kufanya show mbili weekend hii.
Ommy akiwa uwanja wa ndege JNIA mchana huu, ameandika “Off to Houston,Texas #pkp#USA#Obamani#dohaQatar”
Dimpoz amesema show ya kwanza itafanyika Ijumaa hii (Agosti 8) Houston ikifuatiwa na show ya Washington Jumamosi.
“Naelekea mchana huu (August 5) Marekani nitakuwa na show mbili pale weekend hii ambayo itakua ni Ijumaa Houston na Jumamosi itakuwa ni Washington” Dimpoz ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM. “Kwa show ya Ijumaa kutakuwa na after party kama tunafanya Ndagushima Night na itakuwa imekusanya watu wengi kutoka East Africa, nchi mbalimbali…pia itakuwa kama after party kwasababu kutakua na mkutano wa Mheshimiwa Rais Kikwete atakuwa anaongea na Watanzania Houston kwa hiyo akimaliza baadae watu watajijoin”.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
0 comments:
Post a Comment