Wednesday, June 25, 2014
On 1:16 AM by Unknown in MUSIC No comments
Raper wa mziki wa bongo flavor heat maker wa full nga’ae ngae, nimewasamehe na nyingine nyingi ambae alifahamika zaidi alipokuwa akililiongoza kundi la Mexicana lacavela ambae kwa sasa ni msanii anaemilikiwa na rec lable ya vipaji tz kama solo artist rec lable ambayo mpaka sasa mmiliki wake hajataka kufahamika lakini inasemekana ni mtu mashuhuri na mkongwe kwenye tasnia ya mziki wa bongo flavor jana almanusura awekwe ndani kwa kudaiwa kuchukua hela za show na kutokwenda kwenye show hiyo
Baghdad ameeleza ya kuwa ni siku chache zimepita akiwa anapigiwa simu na namba ngeni na kuambiwa vip kuhusu show ya vunja jungu mkoani lindi tar 29 na Baghdad kutoonyesha hali ya kujua jambo lolote na kadri promoter alipokuwa akimtishia Baghdad juu ya kuchukua kiasui cha fedha kama advance ya show Baghdad aliendelea kumjibu ovyo kwa kuwa hakupokea kiasi chochote cha fedha na hana taarifa yoyote.
Erick mbudagazi ambae ni promoter wa onyesho hilo aliamua kutafuta mbinu yakumkamata Baghdad na kuamua kumtumia msichana ambae jina lake halikufahamika ili kumnasa Baghdad.
Baghdad aelezea ilivyokuwa, nilikuwa natoka kuoga niliporudi nimkuta bby wangu akiwa amekwazika na sikujua tatizo lakini alikuwa na simu yangu na nilipoichukua aliniuliza ni nani huyo na nilipotazama kwenye whatsaap nilikuta picha za ajabu za msichana ambae anajifanya tulishawahi kukutana kwenye show Dodoma na tulitongozana sema alipoteza simu na kwa sasa yuko dar amefikia kempisk na atakaa kwa muda wa siku 3 na ataomba kampani yangu kama sintojali, nilikuwa na nia ya kumkatalia lakini baby wangu ili aridhike alisema nimkubalie na Yule mdada aliniambia tuonane mlimani sity anataka akafanye shoping na aninunulie simu mpya, nilitekeleza ili nisimkere mpenzi wangu. Nilianza safari na nilipoofika nilionana nae ghafla kabla ya kumaliza maongzi wajkatokea watu 3 aliovaa kiraia na wawili wamevaa nguo za ki polisi, promoter alionekana kuwa mpole baada ya kuniona na aliniuliza wewe ndie Baghdad nikamwambiea ndie mimi na akawa anazidi kussisitiza kuwa mimi ndie Baghdad feki maana Baghdad anaemjua yeye ni mnene.
Maongezi yaliendelea jamaa akishinikiza nimrejeshee hela yake na n ilipojaribu kumuuliza njia aliyofanya malipo na alipopata namba yangu alisema alipowasiliana na Baghdad alimueleza yuko Kenya kwenye show hivyo alitumia namba ya airtel na alimpa namba ya 0652 89 48 71 ambapo alisema atarejea baada ya wiki moja na alimuelekeza kuna mtu ambae ndie manager wake kwa sasa yuko magomeni atamtafuta waingie nae mkataba na promoter anadai alionana na jamaa alieelekezwa na kumlipa na kusaini mkataba baada ya wiki kupita promoter alikuwa anahitaji picha ya msanii ili anprint posters ili zianze kwenda kubandikwa na alipopiga namba aliopewa na Baghdad alikuta habari tofauti na kutokuelewana.
Baghdad amesema iluitumia muda kumuelewesha promoter lakini mwisho alielewa baada ya Baghdad kutokukutwa na hatia yoyote na baadae walikubaliana kukusanya nguvu ya kumtafuta kwa pamoja
Aidha Baghdad ameomba samahani kwa mashabiki wake, na wadau kwa ujumla na kusema kukaa kwake kimya alikuwa akijipanga hivyo muda wowote ataachia kazi yake mpya alioifanya vipaji rec ikiwa ni mikonoya producer wake abah prossec aliomshirikisha dream nyota mpya anekuja kwa kasi kwenye mziki wa bongo flavor ifahamikayo kwa jina la haiters. Aidha Baghdad amesema ya kuwa kwa mtu yoyote anaehitaji kuwasiliana nae kwa lolote awasiliane nae kwa no
0652 89 48 71 kwa simu ya mkononi na whatssap
Instagram bagh_dad
Twitter kwekapraygod
Facebook Baghdad pg kweka.
Mwisho alisema mungu ibariki vipaji tz, mungu ibariki bongo flavor mungu walaanio matapeli waliotapeli kwa kutenda, kwa kunena au kwa kufikiri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Sio Wakati Wote Ni Wa Kazi Hata Kmaa Ni Mtu Maarufu Kuna Muda Unatakiwa Kukutana Na Watu Tofauti Na Kujipa Raha kwa Nafasi Kama Unavyomuo...
-
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Asha (31) ambaye ni mke wa mtu, amejikuta akiachika katika ndoa yake baada ya kudaiwa kumuun...
-
Justin Bieber ambaye hivi sasa yuko katika kipindi cha matazamio ameripotiwa kuhatarisha maisha ya watembea kwa miguu katika eneo la Beve...
0 comments:
Post a Comment