Thursday, June 26, 2014
Beyonce aliandika kwenye website yake ujumbe maalum unaosimulia maisha yake kwa kukumbuka matukio yaliyokuwa yanamgusa MJ.
Aliandika kuwa wakati anaanza muziki, producer wake wa kwanza alimtaka aangalie performance ya Michael Jackson ‘Who’s Loving You’ kwa masaa kadhaa.
Alieleza kuwa alimwambia afanye hivyo kwa lengo la kujifunza kuwa unaweza hata kusikia roho yake wakati anaperform.
“What he wanted me to learn was his soul. You could hear his soul. And he was this little kid who hadn’t experienced love but he was a vessel.For whatever reason he could evoke more emotion than an adult. It was so raw and so pure. It was these little things that he did that were just swag. It’s something that’s God given.” Aliandika Beyonce.
Alieleza kuwa alijifunza kuwa sio lazima kila wakati utumie technique na kufuata hisia zako.
“Michael Jackson alinibadilisha, na alinisaidia kuwa mwanamuziki kwa jinsi nilivyo, asante Michael.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Arnold Schwarzenegger was born and raised in Austria. But The Expendables 3 star looked like a true American as he left Cafe Roma in Beverly...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
ITALIA imeaga Kombe la Dunia nchini Brazil baada ya kufungwa 1-0 na Uruguay, bao pekee la Diego Godin katika mchezo ambao mshambuliaji Luis ...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline hivi sasa ajali nyingine imetoka karibu kabisa na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege hiy...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Kuna watu wengi maarufu ambao pesa zao nyingi hupeleka kwenye bata na mambo mengine, lakini kiungo wa timu ya taifa ya Ghana sulley Muntari...
0 comments:
Post a Comment