Wednesday, July 16, 2014
On 10:54 PM by Unknown No comments

Wiki chache Linah alianza kupost vipande vya picha na video ambayo
wengi tulikua tukiona tu maandishi yanayosema inakuja,leo baada ya
futari THT Linah ameitumia nafasi hiyo kutambulisha rasmi video na audio
ya wimbo huu.
Mtu wa kwanza kuinunua video hii ambaye ameingia kwa rekodi ni Cloud
kutoka Bongo Movie ambaye alipoiona tu akatoa pesa akainunua,wapili ni
Mrisho Mpoto ambaye nae hakutaka kusubiri zaidi.
Linah ameagwa rasmi na uongozi wa THT baada ya kupata uongozi mpya
utakaoanza kumsimamia kazi zake ambazo kwa utangulizi wameanza na kazi
hiyo iliyofanyika South Africa kuanzia audio hadi video na kampuni hiyo
inaitwa No Fake Zone Entartainment.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Mark Wahlberg 's massive home in Beverly Park, CA is finally complete ... 30,000 square feet strong ... and it's t...
-
Amber Rose was a guest on the Breakfast Club last week , and she threw some shade towards Tyga and Kylie Jenner, alluding that the two wer...
-
5:55 PM PT -- Meek just posted his first pic after prison -- chilling in a living room and cracking jokes about a friend's broken foot...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Justin Bieber amepata ajali ya gari akiwa katika gari lake la Cadillac Escalade wakati akiwakimbia mapaparazzi, Beverly Hills. Kwa mujibu w...
0 comments:
Post a Comment