Tuesday, August 19, 2014

On 1:08 AM by Unknown   No comments

Kundi la Jambo Squad limeachia remix ya wimbo wao wa ‘Mamong’oo’ wakiwa wamewashirikisha wasanii 13 wa Arusha. Wimbo umeandaliwa ndani ya Noiz Mekah na Producer DX.

0 comments:

Post a Comment