Thursday, September 18, 2014

On 2:23 AM by Unknown   No comments

Albam mpya ya Wizkid aliyoipa jina la ‘AYO’, imeanza kuuzwa kwenye iTunes ikiwa ni wiki moja kabla ya September 23 ambayo ni tarehe rasmi ya kuingia sokoni.
Albam hiyo yenye nyimbo 19 inajumuisha nyimo alizofanya ma wasanii wakubwa wa kimataifa kama Tyga, Akon na Wale, Bankw W, na Femi Kuti.
Jana mkali huyo ameachia ‘Show You The Money Remix’ aliyomshirikisha Tyga.
Isikilize hapa:

0 comments:

Post a Comment