Friday, September 26, 2014

On 1:54 AM by Unknown   No comments
benpol(2)

Ben Pol amefanya kava ya wimbo wa msanii wa Uingereza, Sam Smith ‘Stay With Me’. Kwa uwezo wa sauti yake kwenye wimbo huu ni wazi kuwa Ben ni msanii bora wa rnb kuwahi kutokea Tanzania. Production imefanywa na Mswaki. Noma sana.

0 comments:

Post a Comment