Thursday, September 11, 2014
On 1:20 AM by Unknown No comments
Mcheza mieleka wa zamani wa WCW na WWE, Sean O’Haire amekutwa akiwa amefariki kwa baada ya kujinyonga, Jumanne wiki hii.
Kwa mujibu wa TMZ, polisi wameeleza kuwa walimkuta O’Haire akiwa chumbani kwake South Carolina akiwa amejifunga kamba shingoni na tayari ameshakufa. Mwili wake ulitambuliwa kwa mara ya kwanza na baba yake ambaye aliwapiga simu polisi.
O’Haire ambaye jina lake halisi na Sean Hair aliingia katika ulimwengu wa mieleka kwenye WCW (World Championship Wrestling) mwaka 2000 na mwaka huo alipewa ubingwa wa ‘Rookie of the Year’.
Yeye na partner wake Chuck Palumbo waliwahi kuwa mabingwa wa WCW kabla ya kampuni hiyo kununuliwa na WWE.
Mwanamieleka huyo alifahamika zaidi kwa utambulisho wa sentensi yake mara kwa mara “I’m not telling you anything you don’t already know.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Mark Wahlberg 's massive home in Beverly Park, CA is finally complete ... 30,000 square feet strong ... and it's t...
-
Amber Rose was a guest on the Breakfast Club last week , and she threw some shade towards Tyga and Kylie Jenner, alluding that the two wer...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
0 comments:
Post a Comment