Friday, September 26, 2014

On 12:08 AM by Unknown   No comments
140924130316-paul-walker-fast-7-story-top
Mwigizaji Vin Diesel ameweka kwenye facebook picha ya Paul Walker iliyogusa watu na mashabiki wengi duniani.
Mpaka sasa picha hii imethibitishwa kuwa ni picha kutoka kwenye filamu ya Fast & Furious 7. Picha hii imeambatana na trailer ya filamu hio.

0 comments:

Post a Comment