Wednesday, September 24, 2014

On 6:24 AM by Unknown   No comments
1742684_293937064132353_272031686_nTID ameingia kwenye studio ya B Records za Dar es Salaam na rapper wa Afrika Kusini, Tumi Molekane. Wimbo waliorekodi unaitwa ‘Bongo’.
TID amesema kuwa rapper huyo alikuwa na shauku kubwa ya kufanya naye kazi.
“Mimi na Tumi tumefanya kazi moja nzuri sana studio jana,” amesema TID. “Tumetoka late sana kama saa kumi hivi. Tumerekodi wimbo mpya ambao unaitwa Bongo. Tulikuwa tunawasiliana muda mrefu kupitia social network, tukapata nafasi baada ya kuingia Dar es salaam ndo tukaamua kufanya kazi. Project iko mwishoni kumalizika leo nafikiri tunamalizia kurekodi hajarudi zake South Africa kesho. Mimi nafikiri video yake tunatakiwa tufanyie South Africa muda si mrefu. Jamaa yupo serious kabisa na hii kazi.”
Naye Tumi ameandika; In studio with the very shirtless T.I.D hehe. For real, this dude is crazy talented.”

0 comments:

Post a Comment