Wednesday, October 1, 2014

On 2:06 AM by Unknown   No comments
Msanii Diamond ametajwa kuwania tuzo zingine za Nigeria zinazofahamika kama The Headies 2014.
Diamond ametajwa kwenye kipengele cha Msanii bora wa Afrika yani [ Best African Artist] na anachuana na wakali kama Mafikizolo wa South Africa, Sarkodie wa Ghana na REBess.
Tuzo zinafanyika October 25,2014.
headies 2 headies

0 comments:

Post a Comment