Monday, October 6, 2014
On 4:17 AM by Unknown No comments
Rapper Cpwaa ambaye hivi karibuni aliachia single yake mpya ‘Kata Kiu’ amesema label yake Brainstormusic inatarajia kuongeza wasanii na kuanza kufanya filamu pamoja na kuanza kutoa ngoma nyingi zaidi.
Cpwaa amesema kuanzia sasa atakuwa akatoa nyimbo nyingi ili kuwapa mashabiki wake muziki wa kutosha.
“Baada ya hii ‘Kata Kiu’ kabla mwaka huu haujaisha nitatoa single nyingine kwahiyo sasa hivi ni nonstop, kila baada ya miezi mitatu nitakuwa natoa nyimbo na kila baada ya miezi sita natoa video, that’s my target now,” “Kwasababu nimekaa muda mrefu bila kufanya kazi kwa wingi, kwahiyo hii ‘Kata Kiu’ ni kwaajili ya kukata kiu mashabiki wangu ambao wamemiss kitu fulani. Kwahiyo huu ni wimbo ambao unagusa kila level, nimerudi kwenye style yangu ya zamani watu wana hamu nayo pia Chereko Chereko bado inaendelea kwenye rotation,” alisema Cpwaa.
Cpwaa amesema pia label ya Brainstormusic itaongeza msanii mpya pamoja na kuingia kwenye filamu.
“Kuna kampuni kama tatu ziko interested na Wadananda, sasa hivi bado tupo kwenye mazungumzo ndo maana sitaki kuzungumzia sana, pia kutakuwa na TV show ambayo itakuwa accessible kwenye mobile phone. Kuna nyimbo mpya ya Mdananda itatoka na pia kuna filamu itakuja. Kwahiyo kuna mipango mingi inakuja kuhusu hii record label. Kingine kuna msanii mpya kabla ya mwaka huu haujaisha itamsaini msanii mpya na ni mkubwa wa hapa nyumbani,” alisema Cpwaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
0 comments:
Post a Comment