Tuesday, November 25, 2014

On 12:48 AM by Unknown   No comments

Screen Shot 2014-11-24 at 9.11.09 PM
Kenya na Nigeria zimeungana tena kwenye hii kolabo ambayo ni single inayomilikiwa na Jaguar ambae kampa shavu Iyanya kutoka Nigeria ambae pia yuko kwenye headlines za kolabo na Sauti Sol.

Jaguar atapita hapa mara tatu kwa ajili ya kusoma nini kimeandikwa na mashabiki wake upande huu.

0 comments:

Post a Comment