Monday, November 17, 2014

On 12:44 AM by Unknown   No comments
wpid-img-20141117-wa0002.jpg
Lady Jaydee atafanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya ‘Forever’ aliomshirikisha mdogo wake Dabo, November 28.
Uzinduzi huo utafanyika M.O.G Bar & Restaurant (zamani Nyumbani Lounge), Kinondoni jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment