Thursday, January 8, 2015

On 2:03 AM by Unknown   No comments
diamond squareUnafuatilia habari za burudani Tanzania, basi utakumbuka swali waliloulizwa P Square walivyokuja Tanzania kuhusu kumfahamu Diamond.
Jibu lao lilitengeneza drama kwa mashabiki wa Platnumz.
Diamond kwa sasa yupo Nigeria kwaajili ya tuzo za Glo-CAf. Amekutana na mastaa tofauti na miongoni mwao ni Peter wa P Square na Fally Ipupa.
diamond pupa 2 diamond pupa 3 diamond pupa 4 diamond pupa 5 diamond pupa 6 diamond pupa

0 comments:

Post a Comment