Friday, June 27, 2014
On 5:58 AM by Unknown No comments
Mwanamziki wa Marekani Robert Kelly maarufu kama R.kelly amekataa kujibu maswali yanayomhusu mtoto wake wa kike Jaya kubadilisha jinsia.kuwa wa kiume R Kelly amekuwa akikwepa kujibu maswali hayo juu ya hatua ya mtoto wake mwenye umri wa miaka 13 aliyotangaza kupitia mitandao ya kijamii kuwa amebadilisha jinsia yake na kuwa wa kiume akijiita Jay Kelly.Mwanamuziki huyo maarufu kutoka nchini Marekani amesema kuwa hatopenda kulizungumzia suala hilo la mtoto wake kujibadili jinsia na kuongeza kuwa hata kama kuna ukweli wowote hatovipa vyombo vya habari uhuru wa kuzungumzia.R Kelly ameongeza kuwa ni vyema watu wakaamini wanachokiona kwa macho kuliko wanachosikia kwani hata yeye amesikia juu ya suala hilo lakini si kweliR Kelly amebarikiwa kuwa na watoto wengine wawili Joann Kelly na Junior Robert Kelly aliozaa na mke wake wa zamani Andrea Kelly.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Sio Wakati Wote Ni Wa Kazi Hata Kmaa Ni Mtu Maarufu Kuna Muda Unatakiwa Kukutana Na Watu Tofauti Na Kujipa Raha kwa Nafasi Kama Unavyomuo...
-
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Asha (31) ambaye ni mke wa mtu, amejikuta akiachika katika ndoa yake baada ya kudaiwa kumuun...
-
Justin Bieber ambaye hivi sasa yuko katika kipindi cha matazamio ameripotiwa kuhatarisha maisha ya watembea kwa miguu katika eneo la Beve...
0 comments:
Post a Comment